A2ZAPK

YangaSC Official App1.7.2

YangaSC Official App v1.7.2

Downloads: 448


Free

YangaSC Official App / Specifications

YangaSC Official App / Screenshots

YangaSC Official App 1.7.2
Loading... YangaSC Official App 1.7.2
Loading... YangaSC Official App 1.7.2
Loading... YangaSC Official App 1.7.2
Loading... YangaSC Official App 1.7.2
Loading... YangaSC Official App 1.7.2
Loading... YangaSC Official App 1.7.2
Loading... YangaSC Official App 1.7.2

YangaSC Official App / Description

Hii ni app rasmi ya Young African Sports Club (Yanga). Jisajili kama Mwanachama wa Klabu au Shabiki ili kupata taarifa mpya za klabu video picha mahojiano maalumu nunua bidhaa za klabu tuza wachezaji na changia maendeleo ya klabu yako.

Ukiwa na application hii katika kifaa chako cha mkononi utapata habari zote za klabu zako pale tu zinapotokea. Pakua sasa na ufurahie huduma rafiki kwa ajili yako.

Ukiwa na hii application unaweza kufanya yafuatayo

> Yanga Taarifa: Kupata taarifa za matukio yote ya Klabu pamoja na soka kwa ujumla hapa nyumbani pamoja na ulimwenguni.

> Plaza: Utaweza kununu bidhaa rasmi za Klabu ikiwa ni pamoja na Jezi ya timu Kitambulisho cha uanachama na kadhalika

> Ada: Unaweza kulipia ada yako ya uanachama na kupata taarifa za uhai wa uanachama wako. Hakikisha unakwenda na kazi ya Klabu ya kuwa mwanachama wa kidigitali

> Tuzo: Utaweza kuwatuza wachezajia pamoja na benchi la ufundi wakati wa mechi mbalimbali za timu. Ni rahisi utawatuza kwa kutumia mitandao ya simu

> Changia: Utaweza kuchangia miradi na matukio mbalimbali ya timu kwa urahisi kabisa kupitia mitandao ya simu

> Matawi: Utaweza kujiunga na Tawi la yanga karibu na makazi yako na kushiriki katika miradi mbalimabali kupitia matawi ya wanachama

> Kikosi: Wajue wachezaji wa Klabu yako kwa undani na ukaribu fahamu historia zao na weledi wao katika mchezo wa soka

> Bonus: Jiunge na mfumo wa Shabiki Bonus upate zawadi mabali mbali kutoka na michango yako kama mshabiki

Sasa timu ya Wananchi kuletwa Kiganjani kwa Wananchi. Yanga Kidigitali Zaidi

Timu ya Wananchi Kidigitali Zaidi
This is the official app of the Young African Sports Club (Yanga). Sign up as a Club Member or Fan to get new club information videos photos exclusive interviews buy club products reward players and contribute to your club development.

With this application in your mobile device you will find all your club information as soon as it appears. Download now and enjoy the companion service for you.

With this application you can do the following

> Yanga Information: Get information on all Club events and football in general at home and around the world.

> Plaza: You will be able to purchase official Club products including Team jersey membership ID and so on.

> Fees: You can pay your membership fee and get access to your membership life. Make sure you go with the Club's membership function

> Prize: You will be able to reward players along with a technical bench during various team matches. It's simple you will charge them using mobile networks

> Contribute: You will be able to contribute to various team projects and events quite easily through mobile networks

> Branches: You will be able to join the Stem Branch near your residence and participate in various projects through member branches

> Squad: Get to know your Club players deeply and intimately get to know their history and professionalism in soccer

> Bonus: Subscribe to the Fan Bonus system to receive various prizes from your contributions as a fan

Now the Citizens team is being brought to Kiganjani for Citizens. Be More Digital

The Digital Citizens Team More

Show More >

YangaSC Official App / What's New in v1.7.2

- Tumerahisisha muonekano wa picha kwenye habari.
- Tumeongeza uwezo wa kuangalia toleo la YangaSC official app ndani ya application
- Taarifa zitakua zinaonekana kwa wakati

Choose Download Locations for YangaSC Official App v1.7.2



Telegram

.

YangaSC Official App / Tags

Share YangaSC Official App At Social Media

.